Baada ya muda mrefu na wadau wengi wa muziki wa kizazi kipya kuisubiri kwa hamu , hatimaye video ya wimbo wa Ali Kiba - Mwana imetoka jana na kuonyeshwa na karibu na vituo vikubwa vya tv vya muzik barani Afrika. Katika maoni ya watu wengi kuhusu video hiyo wanadai haipo katik kiwango ambacho ilitegemewa kuwa japo imefanyiwa njee ya nchi.
Mkata viuno huyo wa bongo flavor ameendeleza kufata nyendo za wenzake kwenda kufanya south zilizo na kiwango ambacho si cha kuridhisha huku sababu hazijulikani. Tazama picha
No comments:
Post a Comment