Baada ya muda mrefu na wadau wengi wa muziki wa kizazi kipya kuisubiri kwa hamu , hatimaye video ya wimbo wa Ali Kiba - Mwana imetoka jana na kuonyeshwa na karibu na vituo vikubwa vya tv vya muzik barani Afrika. Katika maoni ya watu wengi kuhusu video hiyo wanadai haipo katik kiwango ambacho ilitegemewa kuwa japo imefanyiwa njee ya nchi.
Mkata viuno huyo wa bongo flavor ameendeleza kufata nyendo za wenzake kwenda kufanya south zilizo na kiwango ambacho si cha kuridhisha huku sababu hazijulikani. Tazama picha
Ndessa Pessa
Cash
Life
Friday, 19 December 2014
Video ya mwana ya Ali Kiba yatoka
Monday, 18 August 2014
Msimamo wa ligi kuu England mpaka mechi ya jana
SEASON
PTS GP W D L
1 Chelsea 3 1 1 0 0
2 Manchester City 3 1 1 0 0
3 Arsenal 3 1 1 0 0
4 Liverpool 3 1 1 0 0
5 Swansea City 3 1 1 0 0
6 Aston Villa 3 1 1 0 0
7 Hull 3 1 1 0 0
8 Tottenham 3 1 1 0 0
9 Everton 1 1 0 1 0
10 Leicester 1 1 0 1 0
11 Sunderland 1 1 0 1 0
12 West Bromwich 1 1 0 1 0
13 Crystal Palace 0 1 0 0 1
14 Manchester United 0 1 0 0 1
15 Southampton 0 1 0 0 1
16 QPR 0 1 0 0 1
17 Stoke 0 1 0 0 1
18 West Ham 0 1 0 0 1
19 Burnley 0 1 0 0 1
20 Newcastle 0 1 0 0 1
Sunday, 17 August 2014
Friday, 13 June 2014
Bazil yashinda 3-1, Tazama picha za matukio ya mechi
Bazil yashinda 3-1 Neymar afunga 2, Oscar 1 na goli la Crotia lilipatikana kwa beki Marcelo kujifunga